Jengo lililokua bado linaendelea kujengwa katika makutano ya
barabara ya Indra Gadhi na morogoro lenye ghorofa zaidi ya 12
limedondoka wakati likendelea na ujenzi na kuangukia msikiti ambao
unasadikiwa kuwa na madrassa ambayo kulikua na wanafunzi ndani wakati wa
tukio!! Chanzo cha habari "Clouds FM" imeendelea kuripoti kua
inawezekana zaidi ya watu 60 wamefunikwa na jengo hilo!!! Nitaendelea
kukupa taarifa nitakavyokua nikizipokea!!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA