SO CRAZY - MAUA SAMA FT. MWANA FA (AUDIO).
Ni binti mwenye umri wa miaka 22 tu anapiga kitabu pande za Chuo Cha Ushirika mwaka wa kwanza akichukua Bachelor in Marketing and Enterpreneurship.Maua Saleh Sama ndo majina yake.Kipaji kipya ambacho Mwafa amekiibua baada ya kuona binti anauwezo mkubwa.*.ISIKILIZE* hii ngoma utakubali kuwa binti anauwezo.
KWA STORY KIBAO PIA CHEKI www.annapita.com

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA