Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA MWISHO ZA MSANII "GOLDIE" KABLA YA KUFARIKI HAPO JANA.

 Msanii Goldie katika picha za mwisho alizofotoa akiwa katika tuzo za Grammy iliyofanyika juzi kati nchini Marekani na baada ya juzi usiku kufika nchini kwake Nigeria haliyake haikuwa nzuri ambapo alizimika kukimbizwa hospitalini usiku huo lakini juhudi hizo ziligonga mwamba na staa huyo kuaga dunia. R.I.P Goldie.

Goldie kabla ya kifo chake akiwa katika sherehe za Grammy Awards nchini Marekani.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.