Header Ads

Breaking News
recent

MSANII WA TMK WANAUME HALISI (BK) AFARIKI DUNIA.

Msanii wa kundi la Wanaume Family anayejulikana kwa jina la BK amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili kutokana na maradhi ya tumbo.

Akiongea na
East Africa Radio Rich One kutoka Temeke alisema msanii huyo amekuwa akisumbuliwa na maradhi hayo tumbo kwa mda na alilazwa katika hospital tofauti kabla hajapelekwa muhimbili ambako mauti yamemkuta.

Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.