Header Ads

Breaking News
recent

JENGO LA PPF TOWER LASHIKA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM.

Kupitia ITV breaking news zimesema kuwa jengo la PPF TOWER lililoko mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam limeshika moto katika ghorofa ya juu mwisho kabisa.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea. Tuwe pamoja katika kufahamu nini kitaendelea zaidi katika tukio hili.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.