WIMBO MAALUM WA MAOMBOLEZO KUFUATIWA KIFO CHA "DJ BUPE" WA MJ RADIO ARUSHA - (Haazu, Gentriez, May C, Sam Timber, Niger C.......)
Kwa niaba ya blog ya ASILI YETU TANZANIA natoa pole kwa familia ya mpendwa wetu na mwenzetu katika vyombo vya habari marehemu DJ BUPE, pia natoa pole kwa wafanyakazi wenzake wote wa MJ Radio Arusha kwa kuondokewa kipenzi chao, zaidi niwape pole wasikilizaji waliokuwa mashabiki wa vipindi vya marehemu Dj Bupe, Mungu amempenda zaidi.
"HUU NI WIMBO MMOJAWAPO KATI YA NYIMBO TATU ZILIZOREKODIWA PALE M RECS CHINI PRODUCER MUSSA SOULDIER NA HAPA WASANII WALIOKO NI MAY C, HAAZU, G-NAKO, GENTRIEZ, SAM TIMBER, MASEBO, NIGGER C, STEVE DADY, ALIKANI, OJ"
Source: Haazu
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA