USIKU WA MASTAA WA FILAMU BONGO - MAANDALIZI YAPAMBA MOTO.
Muonekano wa 'Red Carpet' itakavyokuwa siku hiyo ya
Jumamosi.
Maandalizi ya ukumbi wa kisasa ya Dar Live kwa ajili ya
Usiku wa Mastaa wa Filamu Jumamosi yakiendelea.
MAANDALIZI ya lile tamasha kubwa la Usiku wa Mastaa wa
Filamu litakalofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala
Zakhem siku ya Jumamosi yamezidi kupamba moto kama inavyoonekana pichani juu.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA