SAMSUNG FOOTBALL ANTHEM - DON JAZZY ...WIMBO WA KOMBE LA MATAIFA HURU YA AFRIKA.
Pia mashabiki waliopo Kenya,Ghana, Nigeria na Africa ya Kusini wenye vipaji wanaweza kujishindia kiasi cha fedha kwa kuimba 'Anthem' hiyo ya AFCON 2013(African Cup Of Nations) na kuuplod kupitia facebook page ya Samsung na pia mshindi atajishindia kuimba wimbo huo pamoja na produza huyo mkali.Kauli mbiu ya hiyo ni 'Our Passion Powers Africa'
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA