PICHA ZA WAKATI WA KUTENGENEZA VIDEO YA WIMBO MPYA WA G NAKO.
Hii ni video nyingine mpya ya msanii kutoka Nako2Nako na pia anaiwakilisha
vema kundi la WEUSI namzungumzia G-Nako, video hii ilikuwa ikishutiwa kule
Arusha maeneo ya NGURUDOTO. Video inaitwa BOYS TALK na humu ndani G-Nako
amemshirikisha msanii mpya kwenye baadhi ya masikio ya wabongo kama mimi
anaitwa HAMMOCK ni mzungu kama unavyomuona kwenye picha hii ya chini amevaa
black tshirt na kofia. Dir wa video hii ni anaitwa MASEBO kutoka kampuni
yake inayoitwa GOOD NATION.
Wimbo umetengenezwa na DARSH (Wanene Entertainment) and Daz Naledge.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA