Header Ads

Breaking News
recent

PICHA YA RIHANNA KATIKA JARIDA LA 'ROLLING STONE' - PIA AZUNGUMZIA UHUSIANO MPYA NA CHRIS BROWN.

Mwanamuziki mwenye skendo za kutosha maarufu kama Rihanna, sasa amua kuweka mambo yote wazi kuhusiana na uhusiano wake mpya na mpenzi wake Chris Brown katika jarida la "Rolling Stone".

Rihanna amefunguka kuwa, "Unatuona tukitembea, tukiendesha, tukiwa studio na club, unafikiri unajua. Lakini nitofauti sasa, hatuna majibizano kama ya zamani tena".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.