NYIMBO 8 ZA VIDEO IKIWEMO YA P SQUARE -"ALINGO" NA YA GOLDIE FT. AY - SKIBOBO" ZAPIGWA MARUFUKU NCHINI NIGERIA.
Shirika la utangazaji nchini Nigeria "NBC" limezitupilia mbali nyimbo 8 za video za wasanii wa nchi hiyo, kwa kile kilicho eleza kuwa ni uchezaji uliojaa matusi ndani ya video hizo.
.
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA