Muigizaji wa filamu kutoka Nigeria ambae pia ni mwanamuziki, amesema kuwa tarehe ya kuachia video ya wimbo wake wa "ITZ OVA" ni leo, ambapo pia ameonekana akitupia Tweeter ujumbe huu hapo chini.
MUIGIZAJI TONTO DIKEH KUACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE -"ITZ OVA" LEO.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, January 31, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA