Header Ads

Breaking News
recent

MAMIA YA WAKAZI WA DAR WAELEZEA KUSHTUSHWA NA KIFO CHA SAJUKI. (ITV)


Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam pamoja na wasanii mbalimbali wameelezea kushtushwa kwao na kifo cha msanii Juma Kilowoko Maarufu Sajuki kilichotokea alfajiri ya leo.

Source: ITV TANZANIA

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.