Header Ads

Breaking News
recent

MAHAKAMA YA MAPENZI - LINEX (AUDIO)

Ukizungumzia mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya mwenye sauti ya pekee (Personal Identity) na mwenye mashairi yaliyokwenda shule na yanayogusa hisia na maisha ya kawaida ya kila siku hasa kwenye maswala ya mapenzi basi LINEX anahusika.

MAHAKAMA YA MAPENZI……….. wimbo umetengenezwa Sweden kwa Fundi samweli sauti imerekodiwa na tuddy Thomas, kwahiyo uandaaji mzima wa wimbo umefanywa na producer  Fundi  samweli (mzungu)  ebu sikiliza  wimbo huu jinsi fundi alivyopangilia muziki huo kwa ustadi wa hali ya juu.


Tembelea pia annapita.com

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.