LIVE IT UP - KIJANI FT LEVYSILL (NEW AUDIO SONG).
Kijani ni kundi la mapacha wawili wa kike Elizabeth na Caroline Njuguna kutoka Nairobi nchini Kenya. Kwa sasa wanafanya muziki huku wakiwa wanaendelea na masomo yao ya chuo.
Kijani wako chini ya Cypher Studios.
Sikiliza latest release yao *'Live It Up'*
Source: Leotainmenttz

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA