Header Ads

Breaking News
recent

KERI HILSON AFAFANUA UVUMI KUHUSU BIFU YAKE NA BEYONCE.

KERI HILSON
 Kumekuwa na uvumi kwa muda mrefu sasa katika mtandao  kuwa msanii Keri Hilson na msanii Beyonce wanabifu zito.

BEYONCE

Kupitia mitandao kumekuwa na tetesi hizo kuwa Keri Hilson alianzisha bifu ya kichini chini kwa msanii Beyonce akitegemea itakuwa kubwa na kuteka watu, kitu ambacho kingemnyanyu sana kimuziki lakini mambo hayakuwa kama yalivyokuwa yamepangwa, hakuna aliyeifuatilia.

Keri Hilson kuona kimenuka ameamua kufunguka kutokuwa na bifu na msanii Beyonce, cheki video hii.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.