Header Ads

Breaking News
recent

JESHI LA POLISI LAFUNGA MADANGURO MWANANYAMALA - ITV HABARI

 
Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam limeyafunga madanguro yaliyopo Mwananyamala na kuwakamata Akinadada 35 waliokuwa wakiuza miili yao pamoja na mama wa miaka 72 ambae anadaiwa kuwa ndie mmiliki wa madanguro hayo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.