DAR ES SALAAM WATAHADHARISHWA NA WIZI KWA NJIA YA MTANDAO - ITV HABARI.
Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni limewatahadharisha wakazi wa
jiji la Dar es Salaam kuwa makini na watu ambao ni matapeli Kutokana na
kuibuka kwa mbinu mpya ya wizi wa fedha kupitia njia ya mitandao ya simu
pamoja na mashine maalum za kutolea fedha Benki ATM.
Source: ITV TANZANIA.
Source: ITV TANZANIA.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA