BEYONCE BADO ANAMVUTO WA KISICHANA JUU YA COVER LA GQ.
Baada ya mwanamuziki Beyonce kujifungua mtoto na mumewe Jay Z, mwanadada huyu bado ameonekana kuwa na mvuto wake ule ule, kitu kilichomsababisha aendelee kuwa icon ya wanamuziki warembo.
Beyonce ametokea katika jalida la GQ katika ukurasa wa mbele. Beyonce kwa sasa ana miaka 31 na ni mama wa mtoto mmoja.
Beyonce ametokea katika jalida la GQ katika ukurasa wa mbele. Beyonce kwa sasa ana miaka 31 na ni mama wa mtoto mmoja.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA