Header Ads

Breaking News
recent

PRECISIONAIR TANZANIA YAZINDUA NDEGE MPYA NAMBA "ATR 42-600"

 Hii ndio ndege mpyaa ya PrecisionAir (ATR 42-600) ambayo kwa mara ya kwanza kuruka africa na dunia nzima, imezinduliwa rasmi jana jijini Dar es salaam.

 Hapa ni wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo (ATR 42-600) jijini Dar es Salaam.

Ndege hii namba ATR 42-600 imeanza safari yake ya kwanza hapa nchini leo, ikielekea Mtwara.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.