VIDEO YA "AY" 'I Wanna Be Alone' NDIO ILIYOMPATIA TUZO YA CHANNEL O NCHINI AFRICA YA KUSINI.
Ambwene Yessaya - 'AY'
VIDEO ya wimbo I Don’t Want To Be Alone imempatia tuzo
msanii mahiri wa Bongo Fleva nchini, Ambwene Yessaya 'A.Y'. AY amefanikiwa
kunyakua tuzo katika kipengele cha Most Gifted East African Video of the Year
kwenye tuzo za Channel O Music Video Awards 2012 zilizofanyika Walter Sisulu
Square mjini Kliptown, Soweto nchini ya Afrika Kusini.
Wasanii waliokuwa wanawania tuzo hiyo aliyojinyakulia AY ni:
Keko Feat.
Madtraxx – Make You Dance
Camp Mulla – Party
Don’t Stop
K’Naan Feat. Nas –
Nothing To lose
Navio – One &
Only

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA