MAHOJIANO YA MWISHO YA SHARO MILIONEA YALIFANYWA NA EAST AFRICA RADIO SIKU YA ALHAMISI NA 5SELEKT YA EATV SIKU YA IJUMAA ILIYOPITA.
Mahojiano ya mwisho ya msanii wa filamu Tanzania Sharo Milionea katika vyombo ya habari yalifanyika siku ya Alhamisi katika kituo cha Redio cha EAST AFRICA ndani ya kipindi cha Power Jams.
Na kwa upande wa Televition, Sharo alionekana katika kipindi cha '5selekt' ya EATV siku ya Ijumaa iliyopita.
Kwapicha zaidi alizopiga Sharo katika mahojiano hayo zicheki hapa www.annapita.com
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA