PRODUCER 'FUNDI SAMWELI' AWAAGA WATANZANIA KWA MARA YA MWISHO..."AACHA UJUMBE".
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Pichani ni Fundi
Samwel akiwa na mkewe Saraha.
Producer kutoka studio inayofahamika kwa jina la usanii
record namzungumzia Fundi Samwel.Habari tuliyoipata ni kwamba producer huyu
ameenda nchini kwao sweden sababu alizosema ni kwamba ame miss sana familia
yake pamoja na watu wake pia ana michakato ya kuunganisha wasanii wa kule na wa
huku ili wafanya kazi kwa pamoja.
Fundi samwel akuishia tu hapo kwani alisema
kwamba anajua kwamba ameacha project kibao za wasanii hapa Bongo land kwa hiyo
atakacho kuwa anafanya producer huyo ni kwamba atakuwa anatumia mtandao wa
internet kwa kutuma beat huku bongo land Tanzania halafu wasanii wa
hapa bongo wanaifanyia kazi.Baada ya hapo Tulimuuliza Je unachukua muda
gani kukaa huko swiden.
Kwa mujibu wa Producer Fundi samwel alivyosema kwamba
atokaa sana nchini kwao swiden hatakikisha kati ya mwezi wa October atakuwa
amesharudi hapa Tanzania kuendelea na kazi yake ya muziki.Hayo ndiyo maneno ya
producer Fundi Samwel kutoka Usanii record alifunguka na kuongea hivyo baada ya
kwenda nchini kwao Sweden.
"Nataka kukufahamisha kwamba Jumapili hii Ndio Nasepa
kabisa.Ukitaka kuwasiliana nikiwa Sweden ni +46707556654.Email yangu ni
samwelifundi@gmail.com.Nimefurahai sana wewe na Wabongo wote wamepokea mimi na
mziki wangu vizuri.Nitaendelea kutoa ngoma kali kali hapa Bongo maisha yote
yangu".
![]() |
| SARAHA - MKE WA FUNDI SAMWEL |


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA