P FUNKY WA BONGO RECORDS AMEJIPANGA, ANALETA KITU KIPYAA!!!
Asili Yetu Tanzania.Copyright
![]() |
| P FUNKY - AKIWA BONGO RECORDS. |
Produza mkali kutoka Bongo Records P Funky Majani amesema kuwa 12.12.12 atatoa kitu ambacho
kitakuwa ni historia nyingine katika muziki wa Bongofleva.Tayari P Funky ana
historia ya kuwa Produza aliyetengeneza hits song za kutosha hapa Bongo na
ashafanya kazi karibia na wasanii wote wakubwa wa Tanzania,lakini safari hii
anasema kuwa yuko mbioni kumalizia album yake mwenyewe ambayo ameifanya pamoja
na Karabani ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa Video.
Fahamu mengi kuhusu producer P FUNKY wa Bongo Records hapa Annapita.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA