Header Ads

Breaking News
recent

BARA BARA MJINI MOSHI ZIKIWA ZIMEFUNGWA KWA TAKRIBANI MASAA MAWILI KUMSUBIRI RAIS KIKWETE APITE.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Hapo ni barabara inayounganisha 'YMCA' na chuo cha ushirika ambapo ilifungwa kwa muda wa zaid ya masaa mawili (2) kusubiri kupita kwa msafara wa Rais wa Jamuhuri wa muungano Jakaya Kikwete.
Barabara zote zinazounganisha keepleft ya 'YMCA' zililazimika kufungwa  kwa muda kupisha msafara wa Rais Kikwete uliokuwa unatokea barabara ya Himo -Arusha road via YMCA. Na mwandishi wetu kutoka Kilimanjaro - John Mushi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.