PICHA ZA WASHINDI WA "EDWARD MORINGE SOKOINE MINI MARATHON 2013" - MONDULI ARUSHA
"Dickson Marwa"kutoka katika Club ya "Olili" ndiye mshindi wa kwanza katika mbio za kilometa 10 za kumuenzi hayati "Edward Moringe Sokoine" zilizofanyika jana Monduli Arusha.
Mshindi wa pili "Leonard John" (mwenye nyeusi kushoto) kutoka katika Club ya (Wining Spirit) akiwa na mshindi wa tatu "Msenduki Mohamed" kutoka katika Club ya (Hakika) wakiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio za kilometa 10.
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akipokea tuzo kutoka kwa Mh. Waziri Mkangara.
Mshindi wa pili katika kilometa 10 kwa wanawake, akiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio.
Mshindi wa kwanza kwa wasichana kilomita 2 Irine Simon (kulia) akiwa na mshindi wa pili Happiness Charles (kushoto).
Nganeni Shilalo (kulia) mshindi wa kwanza, Lewanga Melita mshindi wa pili na Lonyoike Tulito watatu kwa upande wa wanaume kilomita 2.
Ngeani Ng'arde (kushoto) Mshindi wa tatu kwa wasichana katika mbio za kilomita 2 akiwa na mshindi wa pili Happiness Charles.

Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akiwa mbele ya waandishi wa habari.
Mshindi wa kilomita 10 kwa wanawake - Catherine akihojiwa na TBC
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akipokea tuzo kutoka kwa Mh. Waziri Mkangara.
Mshindi wa pili katika kilometa 10 kwa wanawake, akiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio.
Mshindi wa kwanza kwa wasichana kilomita 2 Irine Simon (kulia) akiwa na mshindi wa pili Happiness Charles (kushoto).
Nganeni Shilalo (kulia) mshindi wa kwanza, Lewanga Melita mshindi wa pili na Lonyoike Tulito watatu kwa upande wa wanaume kilomita 2.
Ngeani Ng'arde (kushoto) Mshindi wa tatu kwa wasichana katika mbio za kilomita 2 akiwa na mshindi wa pili Happiness Charles.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA