Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO YA "AY" NA "CPWAA" WAKIWAOMBA WATANZANIA KUWAPIGIA KURA ILI KUSHINDA TUZO ZA 'CHANNEL O'.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Wanamuziki wa Bongo Flava AY na Cpwaa wamechaguliwa kugombea tuzo za kituo cha Televisheni cha nchini Afrika Kusini ChannelO na wanaomba kura yako ili waweze kushinda tuzo hizo. Tazama video hii uelewe namna ya kupiga kura.

1 comment:

  1. wakweli ngoma yao nikali sana haliyeifanya ninani na mpa saport kubwa kwa kuwedit video yenye kwalit kuliko zanyuma na wapa sapota sana one love jesus crest!!wahhooo AK.A BYNE JULIUS KUTOKA INTERNET CAFE COMPUTERS SAPLAY HUDUMA KWA JAMII .ARUSHA

    ReplyDelete

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.