Header Ads

Breaking News
recent

Video: Wimbo wa Salman Khan na Katrina Kaif - 'Dil Diyan Gallan'

Kwa mara nyingine tena mkali kutoka Bollywood Salman Khan na mwanadada Katrina Kaif wanakutana kwenye movie mpya inayokwenda kwa jina la Tiger Zinda Hai inayotegemewa kuachiwa hivi karibuni.

Salman na Katrina wameonekana katika huu wimbo wa video - 'Dil Diyan Gallan' hapo chini, ikiwa ni moja ya nyimbo zitakazo onekana katika filamu mpya ya action Tiger Zinda Hai .

Usijali Asili Yetu Tanzania Blog tutakupa full stori itakavyokuwa, ila kwa sasa tazama wimbo huu wa wakali hawa hapo chini, lazima udate>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.