Header Ads

Breaking News
recent

Mapenzi motomoto ni Khloe Kardashian na Tristan Thompson

Mapenzi yamekolea! Khloe Kardashian, 33, azidi kuonesha upendo wake kwa mwezi wake wa sasa Tristan Thompson baada ya kutupia picha katika mtandao wa Instagram ikiwa na ujumbe huu, “My love” ikiwaonesha wapendanao hao wakila bata maeneo flani hivi.

Inasemekana kuwa Tristan Thompson, 26! na Khloe wanatarajia mtoto.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.