PADRI AMWAGIWA TINDIKALI HUKO ZANZIBAR. (ITV HABARI).
Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa tindikali
ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa Katoliki
Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba na kumjeruhi sehemu ya uso
na mwilini.
SOURCE: ITV TANZANIA
SOURCE: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA