PICHA ZA MAPOKEZI YA MWILI WA MSANII "ALBERT MANGWEA" - (LEADERS CLUB)
Baadhi
ya picha za mapokezi ya mwili wa marehemu Albert Mangwair, hapa ni
mapema wakati wasanii na wadau mbali mbali wakijikusanya maeneo ya
Leaders Club mapema leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa kwenda Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere kwa ajili ya kuupokea mwili wa marehemu
Ngwair. — MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU NGWAIR - (LEADERS CLUB)
![]() |
| Gari maalumu lililobeba mwili wa marehemu, hapa ni kabla haujawasili. |
Producer P FUNK akiongoza umati wa mashabiki wa Albert Mangwea wakati wa mapokezi ya mwili wake.
Baadhi ya wadau waliofika mapema — at Leaders club.
WANA KAMATI
Maandalizi ya stage maalum kwa ajili ya kumuaga hapo kesho — at Leaders club.







No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA