WATUHUMIWA MAUWAJI YA PADRI MUSHI WAKAMATWA.

Watuhumiwa mauaji ya Padri Mushi wakamatwa
*Wadaiwa kusafiri kwa Jahazi kutoka Z’bar hadi Mombasa
*Wanaswa katika usafiri wa gari wakielekea mjini Nairobi
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi nchini wamewatia mbaroni vijana watatu
wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Padri Everist Mushi (55) wa
Kanisa Katoliki mjini Zanzibar.
Watuhumiwa hao wamekamatwa
mjini Nairobi, Kenya kutokana na ushirikiano wa Jeshi la Polisi la
Tanzania na Polisi wa Kenya kwa mwamvuli wa Shirikisho la Polisi wa
Kimataifa (Interpol).
Habari za kuaminika kutoka Nairobi,
Kenya zimesema kuwa watuhumiwa hao ambao majina yao yamehifadhiwa,
walitiwa nguvuni juzi mjini humo walipowasili wakitokea Mombasa,
mashariki mwa nchi hiyo.
Watuhumiwa hao ambao walikuwa
wakiingia katika maficho kukwepa mkono wa dola, wanadaiwa kutumia jahazi
kusafiria kutoka Zanzibar hadi Mombasa, Kenya kabla ya kusafiri kwa
magari hadi Nairobi ambako walitiwa nguvuni.
Habari na Jamii Forums na kupitia ukurasa wa Facebook wa ITV Tanzania
Watuhumiwa mauaji ya Padri Mushi wakamatwa
*Wadaiwa kusafiri kwa Jahazi kutoka Z’bar hadi Mombasa
*Wanaswa katika usafiri wa gari wakielekea mjini Nairobi
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi nchini wamewatia mbaroni vijana watatu wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Padri Everist Mushi (55) wa Kanisa Katoliki mjini Zanzibar.
Watuhumiwa hao wamekamatwa mjini Nairobi, Kenya kutokana na ushirikiano wa Jeshi la Polisi la Tanzania na Polisi wa Kenya kwa mwamvuli wa Shirikisho la Polisi wa Kimataifa (Interpol).
Habari za kuaminika kutoka Nairobi, Kenya zimesema kuwa watuhumiwa hao ambao majina yao yamehifadhiwa, walitiwa nguvuni juzi mjini humo walipowasili wakitokea Mombasa, mashariki mwa nchi hiyo.
Watuhumiwa hao ambao walikuwa wakiingia katika maficho kukwepa mkono wa dola, wanadaiwa kutumia jahazi kusafiria kutoka Zanzibar hadi Mombasa, Kenya kabla ya kusafiri kwa magari hadi Nairobi ambako walitiwa nguvuni.

Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, February 21, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA