Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA KUNDI LA DESTINY CHILD LINALOUNDWA NA 'BEYONCE, KELLY NA MICHELLE.

 Beyonce akionyesha maundo yake katika jarida la GQ

 'Destiny Child' baada ya kuwa kimia kwa miaka minane kwa sasa wameungana upya na kurekodi album mpya ya "Love Songs" ambapo walitangulia kuachia wimbo wao unaoitwa "Nuclear" ulioko katika album yao mpya.




 Hapa ilikuwa mwaka 2005 wakati Destiny Child wakipiga shoo ya live.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.