Header Ads

Breaking News
recent

GODBLESS LEMA ASHINDA KESI YAKE NA KUWA TENA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI.

Godbless Lema mbunge wa CHADEMA ameshinda kesi ya rufaa  aliyofungua katika Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam kupinga kuvuliwa ubunge wake..

 Lema alikuwa Mbunge wa Arusha Mjini kabla ya kuvuliwa ubunge na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Mjini mapema mwezi April mwaka huu!!

Wafuasi wa CHADEMA kanda ya kaskazini wanafuraha isiyo na kifani, ambapo katika mitaa kadhaa ya jiji la Arusha ni shangwe za kutosha.



No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.