Header Ads

Breaking News
recent

SHAH BANG NA TARAKIM...WIMBO....(Naskia skia Tu) NOIZ

All rights reserved to Asili Yetu.

Shah Bang & Tarakim
Shah Bang the genius akishirikiana na TaraKim juu ya beat ya Nahreel,Vocal zikiwa ni pande za homtown chuga moko noizmekah.com kwake DefXtro,wanadrop brand new joint yao ki-hihop damu. Matejoo king na Mwanaharakati Tarakim wameamua kui-bless ngoma kwa jina "Naskia skia Tu",ambayo itaambatana na T-shirt zake kibiashara zaidi,Wanasema,"Hii ni idea kuhusu mambo mengi yanayoendelea nchini mwetu Tanzania,Mahusiano ya raia na serikali so pata kuskiza pini letu jipya,much love na support toka kwa media na fans wetu!kwa tshet holla kwenye 0654 784 944...A city's in tha house...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.