Huu ndio ujio mpya baada ya msanii wa siku nyingi wa lililokuwa kundi la Daz Nunda, anaitwa Dazz Baba akimshirikisha Phatma. Sikiliza hapo chini wimbo wake mpya unaoitwa "Wanachukia".
AsiliYetuTz: (SONG) DAZ BABA Ft. PHATMA - "WANACHUKIA". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, March 07, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA